Welcome to Tanzania Entrepreneurship and Competitiveness Centre

Leading centre of excellence in the promotion of entrepreneurial innovation and competitiveness in Tanzania.

Supporting Innovative Entrepreneurs

TECC solidly support the opportunity driven entrepreneurs in the creation and growth of indigenous enterprises both in the MSME upstream and the informal and micro enterprises downstream

A focal point for entrepreneurship

As an instrumental organization in spurring private sector development, TECC is a rallying point for institutional networking and focal point for entrepreneurship development in the country.

Cluster Initiative promotion

TECC is involved in the training of cluster development experts, cluster level innovation,facilitators, cluster leaders and in the mapping of clusters where this expertise will be utilized.


Latest News

Taarifa kwa vyombo vya habari

Mkurugenzi wa Taasisi ya #TECC Mr Sosthenes Sambua, akiongea na waandishi wa habari kwenye Press Conference inayoendelea katika ofisi zao zilizopo Masaki akielezea uzinduzi rasmi wa programu ya #ViaJiandalieAjira awamu ya pili ya mafunzo katika mikoa ya Mtwara, Dar es[...]

read more

Siku ya mwisho ya mafunzo ya kibiashara.

Siku ya kumi na ya mwisho ya mafunzo ya programu ya #ViaJiandalieAjira mkoa wa #DaresSalaam #Mtwara na #Dodoma 21.2.2017, wakifatiwa na kupewa walezi wa kibiashara na kuunganishwa na mifuko kwa ajili ya mikopo kwa vijana.[...]

read more

Mentors day – Morogoro

Mentors day held at Nashera hotel for the purpose of exchanging experience & discussing challenges occurred during Kijana Jiajiri Mentorship in Morogoro on 3rd february 2017.[...]

read more

Awamu ya kwanza ya mafunzo ya Via-Jiandalie Ajira

TECC wakikutana na Maafisa Manispaa Dar es Salaam, Pwani, Mtwara na Dodoma kujadili mafanikio, changamoto na njia za kukabilia na changamoto zilizojitokeza katika awamu ya kwanza ya mafunzo ya #ViaJiandalieAjira.[...]

read more