Downloads
  • Je Unaishi mkoa wa Dar es Salaam, Dodoma, Pwani au Mtwara?
  • Na ni Kijana wa umri kati ya miaka 18-24?
  • Una ndoto za kufanikiwa maisha kwa njia ya biashara?

Kama unadhani una sifa tajwa hapo juu amka sasa na fanya yafuatayo:

  • Pakua form hii kisha ijaze na kuambatanisha na viambanisho tajwa katika fomu
  • Rudisha fomu iliyojazwa katika ofisi za SIDO Mkoa au Manispaa au TCCIA za mikoa husika kabla ya tarehe 24/09/2018 saa 9 alasiri.

Maombi  yatachujwa  kwa  kutumia  vigezo  vya  wazi  kwa  wote  na watakaokidhi vigezo vyote watachaguliwa kwa ajili ya kuanza mafunzo mwezi wa 9 (Septemba 2018).

Fomu ya maombi AWAMU YA 5 2018