FOMU YA MAOMBI AWAMU YA 3 KWA MIKOA YA DAR ES SALAAM, DODOMA, MTWARA NA PWANI

FOMU YA MAOMBI AWAMU YA 3 KWA MIKOA YA DAR ES SALAAM, DODOMA, MTWARA NA PWANI

By In Blog, Events, News, Sitebaan On July 24, 2017


  • Je Unaishi mkoa wa Dar es Salaam, Dodoma, Mtwara au Pwani?
  • Na ni Kijana wa umri kati ya miaka 18-24?
  • Una ndoto za kufanikiwa maisha kwa njia ya biashara?

Kama unadhani una sifa tajwa hapo juu amka sasa na fanya yafuatayo:

  • Pakua form hii Fomu ya maombi Awamu ya 3 kisha ijaze na kuambatanisha na viambanisho tajwa katika fomu
  • Rudisha fomu iliyojazwa katika ofisi za SIDO Mkoa au Manispaa au TCCIA za mikoa husika kabla ya tarehe 18/08/2017 saa 9 alasiri.

Maombi  yatachujwa  kwa  kutumia  vigezo  vya  wazi  kwa  wote  na watakaokidhi vigezo vyote watachaguliwa kwa ajili ya kuanza mafunzo mwezi Septemba 2017.

Dar es Salaam Usaili wa kuwapata vijana watakaojiunga na programu hii utafanyika tarehe 30/08/2017 saa 2:00 Asubuhi, ukumbi wa Msimbazi Centre.

Dodoma Usaili wa kuwapata vijana watakaojiunga na programu hii utafanyika tarehe 30/08/2017 saa 2:00 Asubuhi, ukumbi uliopo ofisi za SIDO Mkoa wa Dodoma.

Mtwara Usaili wa kuwapata vijana watakaojiunga na programu hii utafanyika tarehe 30/08/2017 saa 2:00 Asubuhi, ukumbi wa KKKT mnarani, Mtwara.

Pwani Usaili wa kuwapata vijana watakaojiunga na programu hii utafanyika tarehe 30/08/2017 saa 2:00 Asubuhi, Ukumbi wa Country Side, Kibaha Mailimoja.

Fomu ya maombi Awamu ya 3


About the Author

admin

Leave a comment